Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Prof. Kithure kindiki amesema ujenzi wa daraja la Nithi utakaogharimu shilingi bilioni 7, utaanza katika muda wa wiki chache zijazo. Kulingana na Kindiki, ujenzi wa daraja hilo utapunguza…