Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Takriban 600 zimelazimika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko katika eneo la Tana Delta. Kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu, vijiji sita vimeathiriwa na mafuriko hayo, kutokana na mvua kubwa…