Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya BBC Watu wapatao 169 wameuawa nchini Sudan Kusini kwenye mashambulizi yaliyotekelezwa juzi Jumapili alfajiri. Maafisa wa Sudan Kusini wamesema kundi la watu wasiojulikana, lilishambulia walipoanzisha eneo moja kaskazini…