Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chad imesema italipiza kisasi baada ya Sudan kutumia ndege zisizo na rubani kufanya shambulizi na kusababisha vifo vya watu 17 na wengine kadhaa kujeruhiwa. Rais wa Chad Mahamat Idriss Deby,…