Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa mazingira Aden Duale amesema kwamba mfumo elekezi wa kimkakati wa utunzaji mazingira katika sekta ya haki umejiri wakati mwafaka. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo huo, Duale alisema…