Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Seneta wa kaunti ya Kilifi Stewart Madzayo ameomba ufafanuzi wa kina kuhusu madai ya unyanyasaji na vitisho vinavyodaiwa kufanywa na maafisa wa usalama dhidi ya waumini wa Kiislamu katika kaunti…