Ruto aahidi kuongeza mishahara ya maafisa wa magereza huku kamishna mkuu magereza akiapishwa.

Patrick Aranduh aliapishwa Jumatano kama Kamishna Jenerali mpya wa Magereza katika Ikulu ya Nairobi. Arandu alikula kiapo mbele ya Rais William Ruto katika hafla iliyohudhuriwa na naibu Rais Rigathi Gachagua…

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.