Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Orange Democtratic Movement (ODM) Oburu Oginga yuko nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kimatibabu. Kupitia kwa taarifa, Oginga alisema ziara hiyo ya itamwezesha kufanyiwa uchunguzi kamili wa…