Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu wawili waliuawa siku ya Jumatatu katika eneo la Gem–Ramula, kaunti ya Siaya, kufuatia maandmano ya ghasia kupinga mipango ya kufurushwa kwa wakazi kulikohusishwa na kampuni ya Shanta Gold Kenya…