Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaunti ya Bungoma imenufaika na mtambo wa kisasa wa CT scan, unaotarajiwa kupiga jeki utoaji hudfuma za afya kwenye hospitali ya rufaa. Mtambo huo ulizinduliwa rasmi na Waziri wa Afya…