Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa ya Kenya ya soka ya wanawake, Harambee Starlets imeititiga Ushelisheli mabao 11 katika marudio ya pili kufuzu kwa michezo ya Olimpiki mwaka 2028. Mechi hiyo ilichezwa Jumatatu…