Raila anawapotosha Wakenya kuhusu uchumi, asema Seneta Cherargei

Seneta wa kaunti ya Nandi Samson Cherargei amemshtumu kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga kwa kile alichokitaja kuwa kuwapotosha Wakenya kuhusiana na hali ya kiuchumi humu nchini.  Raila amenukuliwa akisema…

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.