Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Saudi Arabia imesema imeangusha droni mbili katika mji mkuu wa Riyadh mapema Ijumaa. Wizara ya ulinzi nchini Saudi Arabia imesema jeshi lake la anga lilitungua na kuharibu droni mbili zilizokuwa…