Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Msalaba mwekundu limesema kwa sasa eneo hilo limefungwa kati ya Kibunja na Soilo, madereva wakitakiwa kutumia barabara mbadala hadi hali ya kawaida itakaporejea.