Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemkamata afisa wa mapato wa serikali ya Kilifi kwa tuhuma za hongo na utumiaji mbaya wa afisi yake. Mshukiwa, Sylvia Dhahabu Karisa,…