Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Huduma za Mahakama Nchini (JSC), imekashifu vikali utumizi wa bunduki kwenye mahakama ya Ruiru, kaunti ya Kiambu siku ya Ijumaa. Hatua hiyo ya JSC imejiri baada vurugu kushuhudiwa…