Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa zamani Raphael Tuju, amefunguliwa mashtaka katika mahakama ya Kbra, kwa kutoa habari za kupotosha kwa afisa wa polisi. Mashtaka hayo yanahusishwa na ripoti iliyotolewa Machi 1,2026 katika kituo…