Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Sasa ni rasmi kwamba Tume ya Utumishi wa Umma, PSC ina mwenyekiti mpya. Francis Meja alikula kiapo cha utenda kazi wakati wa hafla iliyoongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome leo…