Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchezaji nyota wa Argentina Lionel Messi amekutana na Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mara ya kwanza katika Ikulu ya White House Alhamisi usiku. Messi aliwaongoza wachezaji wa timu yake…