Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Seneta wa zamani wa kaunti ya Pokot Magharibi Samuel Poghisio ametangaza kuwa atagombea wadhifa wa ugavana kwenye kaunti hiyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Wadhifa huo kwa sasa unashikiliwa…