Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Kambe Ribe, kaunti ya Kilifi wamewakamata washukiwa watatu kuhusiana na wizi wa pikipiki mbili ambazo zimepatikana. Wakati wakishika doria kwenye barabara ya…