Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya mipango ya mazishi ya marehemu mbunge wa Ol Kalou David Njuguna Kiaraho imetangaza kuwa mazishi yake yataandaliwa Ijumaa, Aprili 10, 2026 nyumbani kwake Tigoni, eneo bunge la Limuru.…