Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamume wa umri wa miaka 23 amehukumiwa kifungo cha miaka 45 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Mahakama Kuu ya Kisumu ilimpata Arnold Ochieng Omollo na makosa ya…