Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha ODM, Seneta Oburu Oginga, ametoa onyo kali kwa wale wote wenye lengo la kukigawanya chama akiwataka wote wasioridhika waondoke. Akizungumza kwenye mkutano wa kisiasa ujulikanao kama…