Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kampuni ya kusambaza umeme nchini Kenya Power imetangaza maeneo mbali mbali nchini ambayo yatakosa huduma za umeme leo Ijumaa Septemba 19, 2025. Kenya Power ilitaja maeneo yaliyo kwenye kaunti nne,…