Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki, amesema kuwa wale watakaotuma maombi ya pasipoti kuanzia Septemba mosi mwaka huu watazipata ndani ya muda wa siku tatu ,kutoka siku ya kutuma…