Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa Kaunti ya Nyandarua wamezua malalamiko makubwa dhidi ya shughuli zinazoendelea za ukataji miti katika misitu ya eneo hilo, wakisema kuwa shughuli hizo zimeharibu miundombinu ya barabara na kuhatarisha…