Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wawili wa polisi waliokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya mshukiwa kwenye korokoro za kituo cha polisi cha Nyamatoki kaunti ya Nyamira, wamefunga jela. Wawili hao wanadaiwa kutekeleza mauaji hayo…