Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jumla ya watu 14 wamekamatwa kuhusiana na vurugu zilizoshuhudiwa katika maeneo ya Kisumu na Nyahururu mwishoni mwa wiki iliyopita. Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS inasema 14 hao wanaoshukiwa kuchochea…