Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu sita akiwemo Mbunge wa Emurua Dikir Johana Ng'eno wanahofiwa kufariki Jumamosi jioni katika kaunti ya Nandi kufuatia kuanguka kwa ndege ya helikopta ya kibinafsi. Inaaminika kuwa ndege hiyo ilijaribu…