Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata afisa wa kampuni ya maji na majitaka ya Nakuru (NAWASCO) kwa madai ya ufisadi. Leonard Cheruiyot Mutai alikamatwa Machi…