Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ameiagiza Wizara ya Elimu kukumbatia mfumo wa dijitali, kuwezesha upatikanaji wa maelezo sahihi ili kuhakikisha ufanisi wa mipango na uwajibikaji. “Nimeagiza Wizara ya Elimu kuweka maelezo ya…