Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Sheila Chepkirui wa Kenya mapema Jumapili amesherehekea siku ya kimataifa ya wanawake kwa njia ya kipekee baada ya kuhifadhi taji la mbio za Nagoya Marathon nchini Japani. Chepkirui ameziparakasa mbio…