Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Kithure Kindiki amesema kuwa serikali iatatoa shilingi bilioni moja kwa Shirika la kitaifa la biashara (KNTC), ili kununua mpunga kutoka wakulima wa eneo la Mwea. Kindiki amesema mpango…