Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameelezea umuhimu wa mfumo wa elimu nchini kuwapa vijana ujuzi, maarifa na imani ili kuwawezesha kushindana mahali popote duniani. Ili kufikia hilo, amesema mageuzi mbalimbali…