Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi, amesema Kenya itaendela kuunga mkono afisi za Umoja wa Mataifa Jiji Nairobi pamoja na mfumo mzima wa UN. Akizungumza afisini mwake Jijini Nairobi alipompokea Mshirikishi…