Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mtu mmoja amefariki baada ya jengo lililokuwa likijengwa kuporomoka katika eneo la Chebocho kaunti ya Kericho. Akithibitisha mkasa huo, Kamishna wa kaunti ya Kericho Jeremiah Gicheru, amesema mwili huo umeondolewa…