Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki amewahakikishia Wakenya kwamba hakuna sehemu yoyote ya nchi itatengwa katika utekelezaji unaoendelea wa miradi ya maendeleo. Amesema taifa hili linashuhudia utekelezaji wa miradi mikubwa kutokana…