Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Mambo ya Nje imetoa tahadhari ya dharura kwa Wakenya wanaoishi na wanaozuru nchi za Mashariki ya Kati, ikitaja hali ya usalama inayobadilika na isiyotabirika. Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi…