Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Wanyamapori nchini (KWS) limetoa ridhaa ya shilingi milioni 950 kwa waathiriwa wa mashambulizi ya wanyamapori humu nchini. Akiongoza hafla hiyo jana Jumatano, Kamishna wa kaunti ya Meru Jacob…