Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama kuu ya Embu imeagiza kuhesabiwa tena kwa kura zilizopigwa mwenye eneo bunge la Mbeere Kaskazini wakati wa uchaguzi mdogo Mwezi Novemba mwaka jana. Mahakama imesema hatua hiyo imechukuliwa kutoka…