Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kila Waziri atawajibikia utendakazi wa wizara yake ifikapo kila mwisho wa mwaka wa fedha. Rais William Ruto amesema anaratajia kila Waziri kuchukua jukumu la kibinafsi katika kufikia malengo yaliyoelezwa katika…