Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Wyper Kalonzo Musyoka na Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti, wamemshutumu Rais William Ruto kwa ubomozi uliotekelezwa katika shamba lenye utata linalomilikiwa na kampuni ya East Africa…