Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ziara ya Rais William Ruto ya ukaguzi na uzinduzi wa miradi ya maendeleo katika kaunti ya Nairobi, inaingia siku ya pili leo Jumanne, huku akitarajiwa katika maeneo bunge ya Mathare…