Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha UDA kimeahirisha awamu ya tatu ya marudio ya uchaguzi wake wa mashinani uliopangwa kufanyika Jumamosi, Machi 7 mwaka huu. Kwenye taarifa, mwenyekiti wa Bodi ya Kitaifa ya Uchaguzi…