Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hamaki ilitanda katika Bunge la Seneti leo Jumatano asubuhi baada ya Waziri wa Utalii Rebecca Miano na mwenzake wa Afya Dkt. Deborah Barasa kukosa kufika bungeni. Mawaziri hao walitarajiwa kuelezea…