Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji Mkuu Martha Koome, ametoa wito kwa mawakili wapya walioapishwa hivi karibuni kutumia mafunzo yao ya kisheria kufanikisha upatikanaji wa haki na uzingatiaji wa maadili katika taaluma yao. Koome aliwahimiza…