Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanajeshi wa Marekani ambaye alikuwa amepotea tangu Iran ilipoangusha ndege ya kivita ameokolewa, kulingana na ujumbe wa Rais Donald Trump aliouandika kwenye mitandao ya kijamii mapema Jumapili. Operesheni kubwa ya…