Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rekodi ya klabu ya AFC Leopards ya kutoshindwa msimu huu ligini imefikia tamati Jumamosi baada ya kuambulia kichapo cha magoli 2-0, ugenini dhidi ya Mara Sugar inayoshiriki ligini kwa mara…