Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanafunzi 14 ni miongoni mwa watu ambao wamethibitishwa kufariki kutokana na mapromoko ya ardhi yaliyotokea Jumamosi iliyopita katika kaunti ya Elgeyo Marakwet. Huku athari za mafuriko hayo zikidhihirika, serikali imeimarisha…